Maswali ya kawaida

Maswali ya Kawaida

Maswali ya Kawaida.

Je, malipo yanafanyikaje?

Unalipa amana (deposit) kabla ya kuagiza, na salio kabla ya kusafirisha au unapopokea.

Amana ni kiasi gani?

Amana ya 50% inahitajika ili kuanza agizo.

Usafirishaji unachukua muda gani?

Kawaida wiki 1–6 kutegemea njia ya usafirishaji (Air ni haraka, Sea ni nafuu).

Je, mnashughulikia forodha?

Ndiyo, tunakusaidia na ushuru na forodha hadi bidhaa zifike kwako.

Je, ninaweza kurudisha bidhaa?

Tunarudisha au kubadilisha bidhaa endapo kuna kasoro. Angalia ukurasa wetu wa Sera ya Kurudisha & Kubadilisha kwa maelezo.

Je, mnauza jumla?

Ndiyo, tunauza jumla kwa bei maalum. Tembelea ukurasa wetu wa Jumla kutuma ombi.