Home

Kutoka China. Hadi Tanzania.

Bidhaa bora.
Bei ya kiwandani.

Tunanunua, tunakagua na kukuletea mlangoni kwako.

Vifaa halisi na asilia vya mtandao vya TP-Link Omada — tunanunua moja kwa moja kutoka TP-Link.Nunua Omada ›

Elektroniki na vifaa

Teknolojia mpya, bei nafuu.

Jumla

Bei maalum kwa wafanyabiashara.

Wholesale

Inavyofanya kazi. Rahisi, hatua nne.

01

Agiza

Chagua bidhaa au tutumie picha ya unachotaka.

02

Tunanunua nchini China

Tunaongea na kiwanda moja kwa moja. Hakuna madalali.

03

Tunakagua ubora

Tunakagua kila oda kabla ya kusafirisha.

04

Unapokea Dar

Kwa ndege au meli, kupitia agent wako au wetu.

Kwa nini Amplify Direct.

Tupo ChinaOfisi yetu Chengdu inanunua na kukagua kila oda.
Ubora hukaguliwaTunakagua kila oda kabla ya kusafirisha.
Rejareja & jumlaKipande kimoja au kontena zima.
Kampuni iliyosajiliwaAmplify Media Company Limited, Dar es Salaam.

Unatafuta kitu maalum?
Tutakutafutia.

Tuma picha au link ya bidhaa. Tutakupa bei ndani ya saa 24.